Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Pelekea Motoo Peleka MotooolBinamu naonaga kama damu bado ipo...hao tuwaachie waarabu..ila shemeji akiingilia cha kichwa nampelekea moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pelekea Motoo Peleka MotooolBinamu naonaga kama damu bado ipo...hao tuwaachie waarabu..ila shemeji akiingilia cha kichwa nampelekea moto
Shemiji anaweza kuwa mke wa Kaka yako au nduguyo, pia dada zake na wadogo zake ni mashemeji.
Binamu ni mtoto wa mjomba au shangazi.
NB:- HAWA HUGONGWA KIMASIHARA
DuhBinamu ni halali kabisa na shemeji ndio halali zaidi hapo ungesema mama mkwe ningeunga mkono hoja
Ushauri mwanana sana huuHoya Shemasi Buji, Ngonga hata Mkwe
Una maanisha nn??Mimi kwa mashemeji Mungu anisamehe.
Nimekaa sana na shemeji wa kike, aisee mahari zangu azijaenda bure.
Tulivofunga ndoa wife full kuninyima haki yangu, at the same time niko na wadogo zake wazuri... sikutaka kwenda mbali, nika date na wa kwanza, tukapendana sanaUna maanisha nn??
Duuuu....hakuja kugundua?????Tulivofunga ndoa wife full kuninyima haki yangu, at the same time niko na wadogo zake wazuri... sikutaka kwenda mbali, nika date na wa kwanza, tukapendana sana
Sababu ilikuwa n nn???Tulivofunga ndoa wife full kuninyima haki yangu, at the same time niko na wadogo zake wazuri... sikutaka kwenda mbali, nika date na wa kwanza, tukapendana sana