Baadhi ya makabisa hapa tz wote ni halali. mfano, kabila langu mtu wa kujifunzia kufanya mapenzi ni binamu, hata leo nikienda kijijini binamu yangu hata kama ameolewa atanitania mimi kuwa ni mume wake hata mbele ya bwanake, ni kitu cha kawaida, ni mtani ambaye unaweza kuoa hata kuoa. ila ndio mtu wa kwanza mrahisi unayeweza kujifunzia kufanya ngono utotoni na hata sio ajabu.
Ila shemeji pia sio haramu. nikiongea binamu hapa namaanisha mtoto wa mjomba au mtoto wa shangazi (sio mtoto ba baba mdogo au baba mkubwa, hao ni dada au kaka hutakiwi kugusa).....kikwetu, shangazi hadi leo ni mkwe (which means unaweza kuoa au kumla binti yake), the same applies to mjomba, ni mkwe, hata kama hautaoa binti yake lakini ni mtu ambaye unaposogea kwake unatakiwa kuogopa kidogo na uweke adabu zote.