Kipi kibaya zaidi kati ya kutembea na binamu au shemeji?

Shemiji anaweza kuwa mke wa Kaka yako au nduguyo, pia dada zake na wadogo zake ni mashemeji.
Binamu ni mtoto wa mjomba au shangazi.
NB:- HAWA HUGONGWA KIMASIHARA

Binamu ni halali kabisa na shemeji ndio halali zaidi hapo ungesema mama mkwe ningeunga mkono hoja
 
Wote haitakiwi kuwagonga, maana ukikamatwa utafikishwa mahakamani na utashitakiwa kwa kosa la kuuwa kwa kukusudia ikiwa ni pamoja na kufungiwa leseni yako.
 
Mimi kwa mashemeji Mungu anisamehe.

Nimekaa sana na shemeji wa kike, aisee mahari zangu azijaenda bure.
 
Una maanisha nn??
Tulivofunga ndoa wife full kuninyima haki yangu, at the same time niko na wadogo zake wazuri... sikutaka kwenda mbali, nika date na wa kwanza, tukapendana sana
 
Tulivofunga ndoa wife full kuninyima haki yangu, at the same time niko na wadogo zake wazuri... sikutaka kwenda mbali, nika date na wa kwanza, tukapendana sana
Sababu ilikuwa n nn???
 
Shem mdogo wa mkeo kula, Shem mke wa Kaka/mdogo ako usimle
 
Binamu ni ndugu yako.... kwakweli kumlala binamu ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…