Kipi kibaya zaidi kati ya kutembea na binamu au shemeji?

Shemiji anaweza kuwa mke wa Kaka yako au nduguyo, pia dada zake na wadogo zake ni mashemeji.
Binamu ni mtoto wa mjomba au shangazi.
NB:- HAWA HUGONGWA KIMASIHARA
Sasa kuna mdada humu anagongana na mjomba wake ... Binamu wa mama yake .... Kubaaaabanyeeeeeee watu wanavipururu vya kufa tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…