Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

Kipi kifanyike ili kuwasaidia watu wenye vibamia?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches)

Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala

Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
 
Dawa ni kwenda Mongolia ama korea na india kwenye vibamia wenzenu mtuache wazee mi mitalimbo tutambe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuuh mtoa mada nahisi hili tatizo analo ila ametumia mhusika nafsi ya tatu ili kuelezea tatizo lake ila sasa watu wamekua wakali kama pilipili.

Ila kama kuna mtu anaweza kumsaidia huyu jamaa amuelezee tu kama kuna tiba ya kujinasua na hili jambo.

Kwa upande wangu leo nitaungana na mkuu Jokajeusi kua wakati mtu mwenye tatizo kama hili anapotaka kuoa aoe bikira tu itamsaidia sana, ila kama anataka kwaajili ya kuonyesha nguvu za kiume kwa kila mwanamke sasa hapo ndio tatizo inabidi akatafute namna ya kukuza.

Utapeli ni mwingi kua makini mkuu, kila mtu anadanganya anayotiba ila sidhani kama kuna ukweli, kikubwa hiyohiyo ndogo aliyonayo ajitahidi iwe imara kutosha kukabili varangati.

Waswahili husema mwenye kisu Kikali ndio mla nyama, na sio mwenye kisu kikubwa ama kidogo, hvyo hiko alichonacho ahakikishe kiwe imara tu
 
Wanawake wenyewe wanasema mada ya kibamia inakuzwa sana na wanaume wenyewe, wanawake hawaoni tatizo hilo, wanachotaka ni uwezo wa kupenya ndani. Wanasema jambo muhimu ni kujua namna ya kumuingilia mwanamke mpaka haja yake itimie kwa wakati muafaka
 
Sasa hoja ya kibamia inatoka wapi wakati wanawake nao wanatofautiana ukubwa wa maumbile yao? Kuna hali na maumbile ya wanawake yanatofautiana, hata misuli ya uke inatofautiana kutokana na homoni zao na hii ni dhahiri hata matiti yao mengine ni makubwa na mengine ni madogo. Umbile dogo la uume linatosha kuingia kwenye uke mkubwa na mpana, ni nguvu tu za kiume ziwepo kwenye uume unatosha kutimiza haja za wote wawili
 
Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches)

Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda kimasihala

Sasa ni kipi tukifanye ili kuwasaidie hawa jamaa zetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo
Kama unajua mtu anahitaji msaads mpe namba zangu maana suluhisho lipo
0699 254400
 
Back
Top Bottom