Kipi kikubwa Tundu Lissu alichofanya tangu awe mwenyekiti CHADEMA?

1: Kanyoa panki
2: Kaongeza walinzi nyumbani kwake
3: Kajua kutabasamu sasa hivi
4: Kaenda Mahakamani kumtetea Dr. Silaa
 
Bado ni mapema kumfanyia assessmet ya utendaji wake!
 
Kutoka kuwa mtoa mawaidha ya Kiislam hadi kuwa chawa wa Samia na CCM yake ni anguko kubwa sana kiroho.
 
Amekutana na Jaji J. Warioba.
2. Kesho atakuwa msibani Manyara
3. Wiki ijayo ,atakwenda kumuona mke wake Belgium!

Sitaki Tena maswali!
 
ulitaka afanye kitu gani, kwa wiki mbili alizokaa madarakani? tuliza mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…