Kipi kikubwa Tundu Lissu alichofanya tangu awe mwenyekiti CHADEMA?

Kipi kikubwa Tundu Lissu alichofanya tangu awe mwenyekiti CHADEMA?

1: Kanyoa panki
2: Kaongeza walinzi nyumbani kwake
3: Kajua kutabasamu sasa hivi
4: Kaenda Mahakamani kumtetea Dr. Silaa
 
Ukiondoa kukutana na Warioba, kipi kikubwaTundu Lissu tangu achaguliwe amekifanya ndani ya CHADEMA au kwa taifa ambacho kinamfanya aaminike na kukuza chama chake?

Kwa mimi naona nothing.

Namuona Wasira na dkt Samia wakihamasisha zaidi watanzania waipende na waiamini CCM.

Pia soma > Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Kutoka kuwa mtoa mawaidha ya Kiislam hadi kuwa chawa wa Samia na CCM yake ni anguko kubwa sana kiroho.
 
Amekutana na Jaji J. Warioba.
2. Kesho atakuwa msibani Manyara
3. Wiki ijayo ,atakwenda kumuona mke wake Belgium!

Sitaki Tena maswali!
 
ulitaka afanye kitu gani, kwa wiki mbili alizokaa madarakani? tuliza mshono
 
Back
Top Bottom