Kipi kilichopo nyuma ya mauaji ya SA Rapper AKA

Kipi kilichopo nyuma ya mauaji ya SA Rapper AKA

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
2,026
Reaction score
4,450
Mwanamuziki Kiernan Forbes alimaarufu kama AKA alipoteza maisha Kwa kupigwa risasi siku ya ijumaa ya Februari 10, 2023 barabara ya Florida usiku mjini Durban, South Africa.
RIP AKA.jpeg

Kipi kilichojificha nyuma ya mauaji hayo ya aibu na kuhuzunisha?

Political issues?🤔
Fellow Musicians competitors?🤔
Drug lords?🤔
Sexual relationship issues?🤔
Family conflicts?🤔

God knows☑️
Who knows.....?

"Good people doesn't last longer"
 
Demu yupi Pal'?
Na chanzo cha kumuua uyo demu ni nn?

Anele alikua dem wake alianguka kutoka kwenye ghorofa floor ya 10 ikapelekea kifo chake. Haimake sense mtu aanguke from nowhere lazima alisukumwa au laah. Kutokana na AKA kuwa maarufu ishu ilizimwa kimya. Familia ya Anele ilithibitisha AKA kuhusika na kifo cha ndugu yao.

Wengi wansema kifo cha rappa ni kisasi.
 
Alipigwa akiwa na marafiki zake wanakumbatiana wamesimama nje ya mgahawa
On CCTV footage, a man wearing a white sweater and hat can be seen crossing the road and walking towards AKA and then firing two shots to the rapper's head, killing him instantly. AKA was killed along with his long-time friend Tebello "Tibz" Motsoane.

So sad kwa kweli Pal'?
Kwa nini SA wasanii wengi wanadanji kiajabu ajabu?
 
Anele alikua dem wake alianguka kutoka kwenye ghorofa floor ya 10 ikapelekea kifo chake. Haimake sense mtu aanguke from nowhere lazima alisukumwa au laah. Kutokana na AKA kuwa maarufu ishu ilizimwa kimya. Familia ya Anele ilithibitisha AKA kuhusika na kifo cha ndugu yao.

Wengi wansema kifo cha rappa ni kisasi.
Hivi Anele alikuwa mkaburu ama ni black man kama sisi!
 
Back
Top Bottom