Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Wewe unashauri vp? Tuseme kwamba Casper anaelewa Scenario nzima.Casppar nyovest yeye ana maoni gani juu ya hilo
Demu yupi Pal'?Uyo jamaa alimuua dem wake wahuni welipiza kisasi.
Hapa umetuchota mzee baba au hata cctv footage hujaionaAKA alipoteza maisha Kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya gari yake
Kama nimekuchota funguka basi.Hapa umetuchota mzee baba au hata cctv footage hujaiona
Demu yupi Pal'?
Na chanzo cha kumuua uyo demu ni nn?
Alipigwa akiwa na marafiki zake wanakumbatiana wamesimama nje ya mgahawaKama nimekuchota funguka basi.
Hivi uyu demu alikuwa mzungu au black man?Alipigwa akiwa na marafiki zake wanakumbatiana wamesimama nje ya mgahawa
On CCTV footage, a man wearing a white sweater and hat can be seen crossing the road and walking towards AKA and then firing two shots to the rapper's head, killing him instantly. AKA was killed along with his long-time friend Tebello "Tibz" Motsoane.Alipigwa akiwa na marafiki zake wanakumbatiana wamesimama nje ya mgahawa
Kwa hiyo cna uhakika cjachimbua sana hiyo issueHivi uyu demu alikuwa mzungu au black man?
Hivi Anele alikuwa mkaburu ama ni black man kama sisi!Anele alikua dem wake alianguka kutoka kwenye ghorofa floor ya 10 ikapelekea kifo chake. Haimake sense mtu aanguke from nowhere lazima alisukumwa au laah. Kutokana na AKA kuwa maarufu ishu ilizimwa kimya. Familia ya Anele ilithibitisha AKA kuhusika na kifo cha ndugu yao.
Wengi wansema kifo cha rappa ni kisasi.