Kipi kilichosababisha bei ya mazao ya biashara kushuka mwaka huu

Kipi kilichosababisha bei ya mazao ya biashara kushuka mwaka huu

Ni mazao yote tu mwaka huu yameanguka bei.. Mpanda kilo moja ya mchele sh.. 800
 
Mkuu bei ya ufuta haieleweki mwaka huu.....hasara kubwa waliyollima kwa kutumia pesa za mkopo
 
Back
Top Bottom