Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Jirani yangu huyo, mimi ni zaidi ya AIππ ila wewe akili yako na lamomy zina iva
Upo kwenye friji? Toka hukoππ we huoni baridi kali hili
Ujirani upo toka linJirani yangu huyo, mimi ni zaidi ya AI
Au sioUpo kwenye friji? Toka huko
Hebu kapike huko elewa tu sisi ni majirani toka muda sana.Ujirani upo toka lin
Una waza kupika tu mda wote πHebu kapike huko elewa tu sisi ni majirani toka muda sana.
Napenda kuona mtu anafanya kile apendacho, wewe unapenda kupika pika.Una waza kupika tu mda wote π
Au ndioAu sio
ππ sawa bhna mshind wewNapenda kuona mtu anafanya kile apendacho, wewe unapenda kupika pika.
Bora kuwaza kupika kuliko ex
Uhakikq broAu ndio
πππ sawa bhna mshind wew
πππ wan lithishana tuNilimuona baba yake tiktok kavaa sweta langu asee nilimtafuta wanirudishie sweta langu mwez wa saba sio mchezo hio mbeho yake
Dah ,usiku mwema kakaππNilimuona baba yake tiktok kavaa sweta langu asee nilimtafuta wanirudishie sweta langu mwez wa saba sio mchezo hio mbeho yake