Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

X mama mtt wangu ,aliniletea mtt geto na begi la nguo zake zt akiwa na mume wake mtarajiwa Kwenye bajaji😀😀😀,,bwana bwana nikapambana na kijana wangu geto kwetu (uzuri dogo n mtulivu alafu anaishi maishà yyt)basi bhan mama yake kaenda uko kaolewa Kwa harusi kaka Kwenye ndoa miezi 8 😀😀 ananza kututafuta Tena uku miezi nane yt ajawahi kunitafuta kujua chcht kuhusu mtt ,nikasema anijui huyu nikampiga block Kila kona nikasongesha life na dogo ,now ana miaka tisa ...nasikiaga tu mama yake aliachika now day anajipambania uko daresalaam
Hee maskini, ukute wewe ndiye mme wake rohoni. Hebu mtafute bibie
 
Alinipenda Kwa maneno na matendo,Yaani alinipenda kupitiliza! Ile mtu anakupenda mpaka unaona kwa macho ya nyama🤓🤓🤓🤓
Sababu ya kuachana Ni Mimi(dada mwenye wivu wake mjini)So Haikuwa ajabu kuona simu Yake!
Mimi sikupi simu ushike nsjua iyo ndio sababu tu
 
Na si nzurii ,mtu kakuachia alafu anarudii kisa kaachwa uko hyo n matumizi mabaya ya mwili na akilii 😀😀😀 .
Kabisa mkuu mimi sicheki na ex kwanza wakinitafuta nawaambiaga wamekosea namba
 
Hellow

Ni kitu gani kilikufanya au kili mfanya x wako akutafute iwe kwa namba ngeni au namba yake shida ilikuwa nini?

Mimi nilimtafuta kwasababu ilikuwa mwezi wa Saba kama hivi baridi kalii af yule binti alikuwa ana nisusia so najipimia mpaka nikinai na siku nime mtafuta haku pindua alikuja tuka malizana alinipenda haswa ila hakukua na mahusiano tena

Vip kuhusu wewe?
Kukisusa ndio nini napenda nielekezwe kwa mfanooo ya pichaaa😅
 
Back
Top Bottom