Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

😂😂😂 dah nimeandika hapa nikamkumbuka jamaa alirudi home patupu mida ya saa 10 jioni, kipindi hiko ameoa kama miezi mitatu nyuma.
Ile kafika home anamwambia waifu kwamba leo nimerudi mtupu, mke akamwambia sasa tutafanyaje tumia Urijali wako. 😂😂 yule jamaa alijiinamia chini kama sekunde kadhaa hivi akainua kichwa na kutoka home anakimbia kuelekea lodi kuseti kibarua hata cha kuingiza sembe la usiku.
Duh ila wanawake
 
X mama mtt wangu ,aliniletea mtt geto na begi la nguo zake zt akiwa na mume wake mtarajiwa Kwenye bajaji😀😀😀,,bwana bwana nikapambana na kijana wangu geto kwetu (uzuri dogo n mtulivu alafu anaishi maishà yyt)basi bhan mama yake kaenda uko kaolewa Kwa harusi kaka Kwenye ndoa miezi 8 😀😀 ananza kututafuta Tena uku miezi nane yt ajawahi kunitafuta kujua chcht kuhusu mtt ,nikasema anijui huyu nikampiga block Kila kona nikasongesha life na dogo ,now ana miaka tisa ...nasikiaga tu mama yake aliachika now day anajipambania uko daresalaam
 
Duh uyo mama mjinga sana
 
Back
Top Bottom