Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

Kipi kilikufanya umtafute Ex wako au akutafute?

Ss nikienda jela alooo 😀 mwangu angebaki na nanii,ss hv maishà mbona fresh tu aise dogo kakua balaa nikiangaliaga zile picha zetu za geto natabasamu tu na mwonyesha na yy ananiambia hapa nilikuwa mdg 😀😀,,tunacheka alafu fresh tu
Hapo mtoto mama ake ana muona mpumbavu tu nakwambia
 
Back
Top Bottom