Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga!
Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia!
Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo
Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na Ulimwengu
Mhenga 1.4 Tamaa mbele mauti nyuma
Mhenga 1.5 Sifa zinaua
Mhenga 1.6 Mdhamini Hufariki
Mhenga 1.7 Mwanakulitafta Mwanakulipata
Mhenga 1.8 Kiburi si maungwana
Mhenga 1.9 Yatima hadeki
Mhenga 1.10 Leo kigeregere kesho kelele
Mhenga 1.11 Dunia hadaa Ulimwengu shujaa
Mhenga 1.12 Sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma
HAWA WATU WALIWAZA SMART SANA BASI TU HATUKUPATA MAJINA YAO