Kipi kimeivutia FIFA kuja Tanzania

Kipi kimeivutia FIFA kuja Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.

Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?

Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?

Au wamevutiwa na kitu gani hasa?
 
Ngoja uone baada ya mkutano ndo utajua wataenda angalia simba na twiga
 
Wamekuja kulainisha wale watuhumiwa wa " mambo ya mpira" waachiwe.
 
Mange kimambi na nyumbu wenzake ndio wamewavutia
 
Wana jf hebu tudadavue nini kinaweza kuwa ndiyo sababu ya Fifa mwaka huu kuja Tanzania kufanyia mkutano wake.

Je, ni uongozi mzuri wa serikali ya awamu ya tano?

Je, ni kutokana na uzuri wa uongozi mpya wa TFF?

Au wamevutiwa na kitu gani hasa?

Wamevutiwa na Juma Nyosso anavyowanyosso Watu wa ' Ndole ' na ' Vifuti ' vya usoni.
 
Mmoja kanitumia Inbox kuwa eti mzee Chilla Tenga ana mkono wake hapo.
 
Wamekuja kutafsiriwa ile barua inahusu nini, maana iliandikwa na Bi Hindu.
 
Back
Top Bottom