Kipi kimejaza dunia kwa wingi Kati ya mimea na wanyama

Kipi kimejaza dunia kwa wingi Kati ya mimea na wanyama

Kwenye hao wanyama, hv ad virusi vya ukimwi na Corona tunawajumlisha.?

Mm nadhani wanyama ndio wako wene
life is “an organismic state characterized by capacity for metabolism, growth, reaction to stimuli, and reproduction.” ~ Merriam-Webster Dictionary.
Kirusi hana hizo sifa, hakiwa hana host hakuna chochote kinaendela forever.
 
Heshima kwenu wakuu...!!!

awali ya yote ni kwamba duniani kuna vitu ambavyo vinaonekana na vile ambavyo havionekani(holybooks). Katika upande wa vitu ambavyo vinaonekana kuna vitu vingi nadhani kuna wanyama, mimea bacteria na n.k

Lakini ambavyo labda vinachukua nafasi kubwa kiumbo kuna mimea na wanyama (binadamu tupo hapa kwa sababu ni mammals).
wakuu kwa kifupi nadhani nimeeleweka kidogo, sasa Kati ya wanyama na mimea ni kipi kimejaza dunia kwa kiasi kikubwa?

Wakuu niwatakie jioni njema...!!!
Nafikiri ni mines,jamani Kuna maeneo Yana mapori acha kabisa
 
Back
Top Bottom