life is “an organismic state characterized by capacity for metabolism, growth, reaction to stimuli, and reproduction.” ~ Merriam-Webster Dictionary.Kwenye hao wanyama, hv ad virusi vya ukimwi na Corona tunawajumlisha.?
Mm nadhani wanyama ndio wako wene
Nafikiri ni mines,jamani Kuna maeneo Yana mapori acha kabisaHeshima kwenu wakuu...!!!
awali ya yote ni kwamba duniani kuna vitu ambavyo vinaonekana na vile ambavyo havionekani(holybooks). Katika upande wa vitu ambavyo vinaonekana kuna vitu vingi nadhani kuna wanyama, mimea bacteria na n.k
Lakini ambavyo labda vinachukua nafasi kubwa kiumbo kuna mimea na wanyama (binadamu tupo hapa kwa sababu ni mammals).
wakuu kwa kifupi nadhani nimeeleweka kidogo, sasa Kati ya wanyama na mimea ni kipi kimejaza dunia kwa kiasi kikubwa?
Wakuu niwatakie jioni njema...!!!
Mzee mama tena😀😀 haya banaSawa mzee mama sasa uko sawa kabisa, pia soma majibu yangu hapo juu nimecomment wewe
Ningeitaje kutokana na id na mwandiko uliotumia😅😅Mzee mama tena😀😀 haya bana
Kwahiyo Id na mwandiko ni wa kizee mkuu? Sawa bana😀Ningeitaje kutokana na id na mwandiko uliotumia😅😅
😂😂 za asubuhi mzee mama?Kwahiyo Id na mwandiko ni wa kizee mkuu? Sawa bana😀
Njema kabisa😀😀 umeamkaje baba!😂😂 za asubuhi mzee mama?
Umeniita "baba" yaani kafeeling flani nimekapata yaani ww sijui nikaelezeaje.🤸🤸😀😀Njema kabisa😀😀 umeamkaje baba!
Nakujibu bila utafiti.
Ni wanyama
Mmh mimea ndiyo imejaza mkuu! Imagine kuanzia nyasi hadi mboga mboga kama kabichi [emoji19]!bado miti mikubwa kwa midogo! Maua nk.
Nimemaanisha ni wa kidadaKwahiyo Id na mwandiko ni wa kizee mkuu? Sawa bana😀
Wala usijali mkuu! Kuitwa mzee ama mdada aah mbona poa tu! Uwe na siku njemaaNimemaanisha ni wa kidada
Kweli kabisa hiyo ndiyo formula!Is hang k{[emoji769]G%%π{|`=