Kipi kimemkuta Godfrey Tumaini (Dudu Baya/Konki Master)?

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
242
Reaction score
450
Habarini wanajukwaa.

Ni muda mrefu sasa umepita tangu watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa IG kumuona KONKI3MASTER akitoa maoni yake yenye lugha ya 'matusi' dhidi ya 'wanyonyaji' wa wasaniii.

Na mara ya mwisho alionekana amejirekodi videos akimvurumishia 'mvua' ya matusi mkurugenzi mkuu wa Benchmark Production waendeshaji wa shindano la BSS Bi. Madam Rita. Baada ya hapo akaitwa kwa barua Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Nataka kujua, kipi kilitokea baada ya huo wito maana naona kimya? Kipi kimemkuta Dudu Baya? Mbona hata haposti kitu chochote kwenye page yake, vipi alifungiwa na TCRA kutumia IG baada ya zile 'MVUA' za matusi? Mwenye taarifa zake please mana akaunti yake ni mda sasa haipositiwi kitu na habari zake zisisikii kabisa.
 
Mkuu huyo jamaa mara ya kwanza alifungiwa baada ya kuanza kuchafua watu mtandao wa Instagram,alikuwa anataja list ya watangazaji wasio na marinda na kuwatukana watangazani wa clouds fm , Ruge alipofariki alimtukana sana .

Baada ya kufungiwa na basata akaomba msamaha ,haijapita mwezi akaanza tena kuwatusi watu kitu ambacho yeye anaita mapunduzi ya mziki lakini harakati zake ilikuwa ya udhalilishaji watu ,ndipo BASATA ikamfungia tena wakishirikiana na TCRA ,na amefungiwa na hakuna msamaha tena ,basata walisema hata asihangaike tena kuomba msamaha washafuta leseni yake na hata akiomba msamaha hatasikilizwa.
 
Ukipigana na chizi wote mtaonekana machizi
 
Hivi mbna wasanii wazamani madishi yao kama yameyumba flani Hivi mr nice, TID , DUDU BAYA N.K nini shida ??? Wakat tukiangalia kwa wenzetu majuu wasanii wazamani ndo wana respect sana na hata influence kwa wapya lakini huku nitofauti tukiachana na wachache ambao tunawaoana wako influential km AY, JAYDEE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana jukwaa.

Ni muda mrefu sasa umepita tangu watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa IG kumuona KONKI3MASTER akitoa maoni yake yenye lugha ya 'matusi' dhidi ya 'wanyonyaji' wa wasaniii.

Na mara ya mwisho alionekana amejirekodi videos akimvurumishia 'mvua' ya matusi mkurugenzi mkuu wa Benchmark Production waendeshaji wa shindano la BSS Bi. Madam Rita. Baada ya hapo akaitwa kwa barua baraza la sanaa Tanzania a.k.a BASATA.

Nataka kujua, kipi kilitokea baada ya huo wito maana naona kimya? Kipi kimemkuta Dudu Baya? Mbona hata haposti kitu chochote kwenye page yake, vipi alifungiwa na TCRA kutumia IG baada ya zile 'MVUA' za matusi? Mwenye taarifa zake please mana akaunti yake ni mda sasa haipositiwi kitu na habari zake zisisikii kabisa.
Baraza la sanaa limemfuta.
 
Mkuu huyo jamaa mara ya kwanza alifungiwa baada ya kuanza kuchafua watu mtandao wa Instagram,alikuwa anataja list ya watangazaji wasio na marinda na kuwatukana watangazani wa clouds fm , Ruge alipofariki alimtukana sana .

Baada ya kufungiwa na basata akaomba msamaha ,haijapita mwezi akaanza tena kuwatusi watu kitu ambacho yeye anaita mapunduzi ya mziki lakini harakati zake ilikuwa ya udhalilishaji watu ,ndipo BASATA ikamfungia tena wakishirikiana na TCRA ,na amefungiwa na hakuna msamaha tena ,basata walisema hata asihangaike tena kuomba msamaha washafuta leseni yake na hata akiomba msamaha hatasikilizwa.
Alitaja nani na nani ktk list
 
Habarini wana jukwaa.

Ni muda mrefu sasa umepita tangu watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa IG kumuona KONKI3MASTER akitoa maoni yake yenye lugha ya 'matusi' dhidi ya 'wanyonyaji' wa wasaniii.

Na mara ya mwisho alionekana amejirekodi videos akimvurumishia 'mvua' ya matusi mkurugenzi mkuu wa Benchmark Production waendeshaji wa shindano la BSS Bi. Madam Rita. Baada ya hapo akaitwa kwa barua baraza la sanaa Tanzania a.k.a BASATA.

Nataka kujua, kipi kilitokea baada ya huo wito maana naona kimya? Kipi kimemkuta Dudu Baya? Mbona hata haposti kitu chochote kwenye page yake, vipi alifungiwa na TCRA kutumia IG baada ya zile 'MVUA' za matusi? Mwenye taarifa zake please mana akaunti yake ni mda sasa haipositiwi kitu na habari zake zisisikii kabisa.
Mtafute MAMBA OIL CHAFU,jamaa yupo mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom