kweli mkuuKazi sio kufika kileleni bali ni kubakia kileleni.....
Lugha gonganaAlikuwa fomu sana msimu ambao Atletico alifungwa fainali ya Uefa na Real Madrid. Tokea hapo amekuwa hapati nafasi hata kwenye kikosi cha timu ya Taifa.
Kuna kipindi Chelsea walimtaka kwa udi na uvumba wakaambulia patupu. Nasikitika kuona kipaji cha hali ya juu cha Koke kikiwa kinafifia.
Koke bado yupo vizuri ndio maana national team anaanza mwanzo mwisho
Wakati Barca wanantaka alisaini miaka 5 au 6 na kusema haondoki ATM ,labda husikii tetesi zake ukadhani kaisha la hasha alishatamka wazi ATM haondoki na katia saini miaka 6
Subiri mechi za timu za taifa zianze lazima aanze
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya koke labda ungeuliza Nini kimemsibu Ustaadh Arda Turan!Kuna kipindi alitajwa kama mrithi wa Xavi Hernandez kwa umahiri wake wa kutandaza soka hasa katika nafasi ya kiungo mshambuliaji na kuzua gumzo kwa timu mbalimbali kutaka kumsajili, lakini kwasasa inaonekana kama nyota yake imeanza kufifia na hakuna timu yoyote inayomtaka tena na wala hasikiki tena na zile pasi zake murua bila kusahau assist. Je Koke ameisha kiwango katika umri wa miaka 25 tu au ni nini kingine kimemsibu kiungo huyu matata?
Gabi umemsahauKoke??? namkubali mno mpaka kesho..
Ndie uti wa mgongo wa ATM...