incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Jamani wana Darisalaamu huyu mwamba wa Misungwi Dudubaya Aka Konki3 master mwanaharakati wa Instagram mnamuonaga huko?
Ni takriban miaka 2 huyu mwamba hajapost chochote huko Mitandaoni wafuasi wake tumemmiss sana
Tumemiss ule umwamba wake akishakula vitu vyake hana noma haogopi MTU anaweza kuzungumza chochote bila uoga, sasa nashangaa kazima gafla hazungumzi chochote vipi huko mitaani anaonekana pia na yy kakumbwa na wasiojulikana