Kipi kimemsibu Mwanaharakati wa Instagram Dudu Baya?

Kipi kimemsibu Mwanaharakati wa Instagram Dudu Baya?

Jamaa mara ya mwisho nilimkuta Geita club ya Biver anapiga safari lager na washikaji zake.

Jamaa anaonekana life limeyumba kidogo siyo dudu wa enzi zile.
 
Walishanibania nisitoke konki nang'ang'ania na siogopi konki
Kwenye list nakutaja siogopi
Konki konki konki masteeeeeer
 
Jamani wana Darisalaamu huyu mwamba wa Misungwi Dudubaya Aka Konki3 master mwanaharakati wa Instagram mnamuonaga huko?

Ni takriban miaka 2 huyu mwamba hajapost chochote huko Mitandaoni wafuasi wake tumemmiss sana

Tumemiss ule umwamba wake akishakula vitu vyake hana noma haogopi MTU anaweza kuzungumza chochote bila uoga, sasa nashangaa kazima gafla hazungumzi chochote vipi huko mitaani anaonekana pia na yy kakumbwa na wasiojulikana
Kauza smart phone kanunua jibapa kajenga heshima bar
 
Walishanibania nisitoke konki nang'ang'ania na siogopi konki
Kwenye list nakutaja siogopi
Konki konki konki masteeeeeer
We jamaa hapa umetumia tafsida kubwa Sana .. wenye uwezo wa kuunganisha dots... ndo wamekuelewa.........
MICHEPUKO SIO DEAL
 
Ushasema mtu wa misungwi huko , nakushauri uwaulize wanamisungwi wanaweza jua jamaa yao yuko wapi
 
Back
Top Bottom