Kipi kimemsibu Mwanaharakati wa Instagram Dudu Baya?

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Jamani wana Darisalaamu huyu mwamba wa Misungwi Dudubaya Aka Konki3 master mwanaharakati wa Instagram mnamuonaga huko?

Ni takriban miaka 2 huyu mwamba hajapost chochote huko Mitandaoni wafuasi wake tumemmiss sana

Tumemiss ule umwamba wake akishakula vitu vyake hana noma haogopi MTU anaweza kuzungumza chochote bila uoga, sasa nashangaa kazima gafla hazungumzi chochote vipi huko mitaani anaonekana pia na yy kakumbwa na wasiojulikana
 
Kabaki na simu ya tochi tu, ile aliyokuwa amepewa na Diamond alishaiuza.
 
Tuko wote hapa asubuhi tunakula breakfast ya chimpumu na kande
 
Ni mchumba wa mtu huyo Kawekwa ndani, na yeye siku hizi anapakuliwa,.. Vijana epukeni sana kua karibu na WCB kile ni chuo cha ugasho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…