komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
duuhJamaa mara ya mwisho nilimkuta Geita club ya Biver anapiga safari lager na washikaji zake.
Jamaa anaonekana life limeyumba kidogo siyo dudu wa enzi zile.
Nimecheka kwa sauti kinoma,
Kauza smart phone kanunua jibapa kajenga heshima barJamani wana Darisalaamu huyu mwamba wa Misungwi Dudubaya Aka Konki3 master mwanaharakati wa Instagram mnamuonaga huko?
Ni takriban miaka 2 huyu mwamba hajapost chochote huko Mitandaoni wafuasi wake tumemmiss sana
Tumemiss ule umwamba wake akishakula vitu vyake hana noma haogopi MTU anaweza kuzungumza chochote bila uoga, sasa nashangaa kazima gafla hazungumzi chochote vipi huko mitaani anaonekana pia na yy kakumbwa na wasiojulikana
Ndiyo kijiwe chake cha kugongea kinywaji,akili yake siku hizi ipo kama ya Deo KisanduJamaa mara ya mwisho nilimkuta Geita club ya Biver anapiga safari lager na washikaji zake.
Jamaa anaonekana life limeyumba kidogo siyo dudu wa enzi zile.
We jamaa hapa umetumia tafsida kubwa Sana .. wenye uwezo wa kuunganisha dots... ndo wamekuelewa.........Walishanibania nisitoke konki nang'ang'ania na siogopi konki
Kwenye list nakutaja siogopi
Konki konki konki masteeeeeer