Kipi kimesababisha kazi ya kudanga kuonekana rahisi kuifanya

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Utakuta mtu yuko chuo mwaka wa kwanza tayari keshaanza kupiga mzigo udangani

Mwingine yuko 39yrs kaachwa na mmewe kwa sababu ya uzee ndani ya siku 2 tayari keshajiingiza kwenye udangaji

Mwingine sasa kakosa hela ya kununulia mafuta ya kukuza nywele tayari keshaingia mzigoni udangani

Kipi kimepelekea hawa viumbe waliobahatika kuongea na shetani kuiona kazi ya kudanga kuwa kazi rahisi rahisi kufanywa
 
kudanga inalipa, kwa siku anaeza ingiza zaidi ya laki hapo bado hajaongwa nyumba, gari. Tofauti na kujishughulisha kwa kazi zingine mpaka utoe jasho na yawezekana usiambulie hata elfu 30 kwa siku.
 
Utakuta mtu yuko chuo mwaka wa kwanza tayari keshaanza kupiga mzigo udangani

Mwingine yuko 39yrs kaachwa na mmewe kwa sababu ya uzee ndani ya siku 2 tayari keshajiingiza kwenye udangaji

Mwingine sasa kakosa hela ya kununulia mafuta ya kukuza nywele tayari keshaingia mzigoni udangani

Kipi kimepelekea hawa viumbe waliobahatika kuongea na shetani kuiona kazi ya kudanga kuwa kazi rahisi rahisi kufanywa
Udangaji ni new version ya umalaya.
 
Back
Top Bottom