Kipi kimewafanya Wakenya kuwa watu wa maajabu?

Kipi kimewafanya Wakenya kuwa watu wa maajabu?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Ni kawaida kabisa Nairobi kukutana na mtu mwenye akili timamu barabarani akiwa amevaa koti na tai mchana wa jua kali

Ni kawaida kabisa kwa mtumishi mwenye cheo kikubwa kabisa Kenya kuvuta bange, kutafuna miraa au kunywa chang'aa

Ni kawaida kabisa kwa kijana wa Kikenya kufa wakati akijaribu kujipiga picha/video ya hatari ili aweke kwenye mtandao wa TikTok

Ni kawaida kabisa kwa mkenya kumuua jirani yake eti kisa ni mluo na yuko anasupport ODM ya rails

Ni kawaida kabisa kwa kijana wa kikenya kuchukua/kukwapua $10000 za boss wake na kwenda kubet kisha kujiua pindi mkeka ukichanika

Ni kawaida kwa mkenya kujisaidia haja kubwa & ndogo kwenye mifuko na kwenda kuitupa barabarani

Ni kawaida kwa mkenya kuhongopa hadharani kuwa milima Kilimanjaro uko Kenya, mbuga ya Serengeti iko Kenya,mbwana Samatta ni mkenya,Diamond ni msanii wa Kenya

Ni kawaida kwa mkenya kuacha shughuli zake na kwenda kuandamana kwenye ubalozi huko ng'ambo kuomba ujenzi wa miundombinu iliyoko Tanzania isitiswhwe

Ni kipi kinawafanya wakenya kuwa watu wa maajabu,wanaofanya mambo ya kiuwendawazimu wakati wako na akili timamu

Mkenya mwengine ajishikiza katika gurudumu la ndege, afika Uholanzi akiwa hai

Tiktoker Nchini Kenya taabani kwa kudaiwa kula Buibui

Mtandao wa Tiktok ni janga la dunia wasipo litatua
 
Hata mashoga wametupita. Kuna Uzi Jana mtu alidai tanzania Kuna mashoga wengi inawezekana ikawa kweli ila Nina uhakika hatupiti wakenya. Kenya kwenye stripchat na onlyfans wapo ila wabongo Bado wanajisuasua.
 
Mbona hii hata bongo ipo! Mkuu achana na wakenya tumalize kwanza ya kwetu maana tuna shida nyingi sana huku
Only this bu-shit is how problem [emoji116][emoji116]
FB_IMG_1658336054348.jpg
 
Back
Top Bottom