Kipi Kinachofanya Mkoa Wa Kagera Kuongoza Kwa umasikini?

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Nimeona takwimu za mikoa yenye umasikini zaidi kwa kuangalia pato la mtu mmoja mmoja ila nimeshangaa kuona eti mkoa wa Kagera unashika namba 2 kwa kuwa na umasikini Tanzania😂

Takwimu nyingine za kitaifa zinaonesha Kagera ndio mkoa wenye wasomi wengi ukiondoa Kilimanjaro, Arusha na Mbaya

Au takwimu za umasikini wa Kagera ndizo zinathibitisha kuwa elimu haina nafasi ya kukufanya uwe tajiri?

Kwenye ardhi mkoa wa Kagera una ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za kutosha misimu miwili kwa mwaka ,Je kwann hyo ardhi nayo imeshindwa kuwaletea maendeleo?

Wahaya na majigambo yenu yote mliyonayo mjini na elimu pia mmeshindwa kuondoa jinamizi na umasikini mkoani mwenu?

Kwasababu mkoa wenu upo mpakan ata mkiamua kuwekeza katika biashara mnaweza kufanya vzr nchi kama Rwanda,Burundi,Uganda, lazima walete hela kwenu

Je umaskini wa Kagera unatokana na nini?
 
Wanasoma kwa show off sio kwa ajili ya kuondoa umasikin ama kujituma kwenye utaftaji wao ni kwa ajili ya Sifa ooh

barongo ana PhD Safi

Ooh kamugisha yupo Oxford anasoma

Rigambwa yuko chuo kikuu cha India anasoma medical
 
Tofautisha layers, umaskini una layers. Ndio mana hata tunaweza kutekeleza mikakt ya kuondoa umaskini mkoa wa Dar lakin mkakt ule usiweze kumtaget mtu mmoja mmoja ambaye ndio mkaz wa dar
 
Nimeona takwimu za mikoa yenye umasikini zaidi kwa kuangalia pato la mtu mmoja mmoja ila nimeshangaa kuona eti mkoa wa Kagera unashika namba 2 kwa kuwa na umasikini Tanzania😂

Takwimu nyingine za kitaifa zinaonesha Kagera ndio mkoa wenye wasomi wengi ukiondoa Kilimanjaro, Arusha na Mbaya

Au takwimu za umasikini wa Kagera ndizo zinathibitisha kuwa elimu haina nafasi ya kukufanya uwe tajiri?

Kwenye ardhi mkoa wa Kagera una ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za kutosha misimu miwili kwa mwaka ,Je kwann hyo ardhi nayo imeshindwa kuwaletea maendeleo?

Wahaya na majigambo yenu yote mliyonayo mjini na elimu pia mmeshindwa kuondoa jinamizi na umasikini mkoani mwenu?

Kwasababu mkoa wenu upo mpakan ata mkiamua kuwekeza katika biashara mnaweza kufanya vzr nchi kama Rwanda,Burundi,Uganda, lazima walete hela kwenu

Je umaskini wa Kagera unatokana na nini?
Ungesoma na key factors za kuuhesabu huo mkoa kwa umasikini.Anza na mtu mmojammoja na familia kwa kuzingatia mapato yao wastani kwa mwaka,makazi wanayoishi,umiliki wa mali/vitu, wastani wa viwango vya elimu n.k.Halafu mengine yatajifingukia yenyewe kwa uuwiano wa idadi.
 
Hakuna viwanda,kahawa inatoroshewa uganda mana tz hakuna bei nzuri.
 
wale jamaa bado wanaishi kijima sana, yaani mawe ya kujenge nyumba unakuta wanasogeza (kusomba kwa kichwa)

zile biashara za mwaka 70 kutembeza karanga, pipi wao bado wanazifanya kwa wingi

ukabila, majungu, ujuaji wa kijinga jinga

wajinga sana kisaluni cha kipumbavu ila wanataka uvue viatu
 
Huwa nawaza huenda Ukimwi ulichangia kuurudisha nyuma huo mkoa kimaendeleo! Miaka ile ya 80 na 90 Ukimwi ulitikisa mkoa huo na wengi waliukimbia! Ingawa naweza kusema kuwa hiyo siyo sababu.
 
Nimeona takwimu za mikoa yenye umasikini zaidi kwa kuangalia pato la mtu mmoja mmoja ila nimeshangaa kuona eti mkoa wa Kagera unashika namba 2 kwa kuwa na umasikini Tanzania😂

Takwimu nyingine za kitaifa zinaonesha Kagera ndio mkoa wenye wasomi wengi ukiondoa Kilimanjaro, Arusha na Mbaya

Au takwimu za umasikini wa Kagera ndizo zinathibitisha kuwa elimu haina nafasi ya kukufanya uwe tajiri?

Kwenye ardhi mkoa wa Kagera una ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za kutosha misimu miwili kwa mwaka ,Je kwann hyo ardhi nayo imeshindwa kuwaletea maendeleo?

Wahaya na majigambo yenu yote mliyonayo mjini na elimu pia mmeshindwa kuondoa jinamizi na umasikini mkoani mwenu?

Kwasababu mkoa wenu upo mpakan ata mkiamua kuwekeza katika biashara mnaweza kufanya vzr nchi kama Rwanda,Burundi,Uganda, lazima walete hela kwenu

Je umaskini wa Kagera unatokana na nini?
Maendeleo hayapimwi kwa elimu na ardhi pekee, bali uwezo wa kuzigeuza kuwa ajira, uzalishaji na kipato.
 
Ni ujinga wa nchi nzima tu. Mkoa umepakana na nchi tatu zenye jumla ya karibu watu 70m unakuwaje masikini!?
 
Back
Top Bottom