Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ni wabaguzi sana kwa wageni!Ujuaji
Mgeni huwezi Toka kwenu ukawekeza kwenye huo MKOA majungu sio poa
Ukifungua biashara kama hujui kihaya huuzi
Ukinunua ardhi jiandae kwa vita
Ungesoma na key factors za kuuhesabu huo mkoa kwa umasikini.Anza na mtu mmojammoja na familia kwa kuzingatia mapato yao wastani kwa mwaka,makazi wanayoishi,umiliki wa mali/vitu, wastani wa viwango vya elimu n.k.Halafu mengine yatajifingukia yenyewe kwa uuwiano wa idadi.Nimeona takwimu za mikoa yenye umasikini zaidi kwa kuangalia pato la mtu mmoja mmoja ila nimeshangaa kuona eti mkoa wa Kagera unashika namba 2 kwa kuwa na umasikini Tanzania😂
Takwimu nyingine za kitaifa zinaonesha Kagera ndio mkoa wenye wasomi wengi ukiondoa Kilimanjaro, Arusha na Mbaya
Au takwimu za umasikini wa Kagera ndizo zinathibitisha kuwa elimu haina nafasi ya kukufanya uwe tajiri?
Kwenye ardhi mkoa wa Kagera una ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za kutosha misimu miwili kwa mwaka ,Je kwann hyo ardhi nayo imeshindwa kuwaletea maendeleo?
Wahaya na majigambo yenu yote mliyonayo mjini na elimu pia mmeshindwa kuondoa jinamizi na umasikini mkoani mwenu?
Kwasababu mkoa wenu upo mpakan ata mkiamua kuwekeza katika biashara mnaweza kufanya vzr nchi kama Rwanda,Burundi,Uganda, lazima walete hela kwenu
Je umaskini wa Kagera unatokana na nini?
Mnoo lo
Ipo Chini miaka yote haijaanza Jana Wala Leo ni zaidi ya miaka 10 sasa unless sio mfuatiliaji.Je una takwimu za 2025 au 2026?
Maendeleo hayapimwi kwa elimu na ardhi pekee, bali uwezo wa kuzigeuza kuwa ajira, uzalishaji na kipato.Nimeona takwimu za mikoa yenye umasikini zaidi kwa kuangalia pato la mtu mmoja mmoja ila nimeshangaa kuona eti mkoa wa Kagera unashika namba 2 kwa kuwa na umasikini Tanzania😂