Kipi kinachotafunwa?

Kipi kinachotafunwa?

mkuu asubuhi yote hii hakuna kilichokufikirisha zaidi ya huu ujinga!? anyway ngoja nikabe seat tuu hapa
 
Sijui kuhusu nyinyi lakini mimi hua nawaza sana ninapokua chooni.

Yanakujaga maswali madogo madogo ya ajabu ajabu ndiyo maana wazungu wanaenda na simu au gazeti.
 
Kinacho ingia ndio ninatafunwa mzee , kinacho ingiza ndio kinatafuna nyingine
 
Back
Top Bottom