Kipi kinafurahisha toka kwa Mpenzi wako tangu mmeanza mahusiano?

Kipi kinafurahisha toka kwa Mpenzi wako tangu mmeanza mahusiano?

Tansy...
Napenda nikoment kitu ambacho mtu akisoma anaweza jifunza kitu. Sio najaza comments nyingi hafu hazina maana.
Kama hiyo comment mtu atajifunza nini?
Sio Mara ya Kwanza nakuona unafuta jinsi ulivyopost , muda mwingine unaandika for fun purposes sio muda wote vitu serious .

Anyway kila mtu huwa anafanya hivyo muda fulani akiona alichokiandika hakina sense mwisho wa siku anaamua kufuta
 
Hakuna cha maana zaidi ya kero tu..unajikuta kila ukimcheki mtu lazima akupe neno la kukera, kuna muda mtu unawaza bora ubaki single tu!
 
Weekends anavoshinda na tshet pana ndani ana choupi tu na kujipitisha pitisha mbele yangu nikiwa aidha naangalia Tv au nacheza ps
 
Hakuna cha maana zaidi ya kero tu..unajikuta kila ukimcheki mtu lazima akupe neno la kukera, kuna muda mtu unawaza bora ubaki single tu!
Hahaha hahaha dah hali kama hiyo ikifika yaani unajikuta tu unamchukia mtu.
 
Back
Top Bottom