Kipi kinaongoza

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Kipi kinaongoza kukufanya kuwa na furaha kati ya pesa au mapenzi?
 
Vyote kwa wakati tofauti tofauti kwa sababu vinategemeana
 
We jamaa nenda mirembe tu maana hilo swali linaonsha haupo sawa
 
Naona vijana mnavyo kanyagana tu hapa....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mapenzi mnapenda na pesa mnataka.....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Naona vijana mnavyo kanyagana tu hapa....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mapenzi mnapenda na pesa mnataka.....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
wewe unapenda kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…