Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Nov 27, 2016 #1 KIPI KINATIA AIBU ZAIDI 1.Kufumwa ukijaribisha viatu vya mgeni? 2.Mgeni kufumwa akiongeza maji kwenye sufuria inayopikiwa ugali?
KIPI KINATIA AIBU ZAIDI 1.Kufumwa ukijaribisha viatu vya mgeni? 2.Mgeni kufumwa akiongeza maji kwenye sufuria inayopikiwa ugali?
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Nov 27, 2016 #3 Hii ya pili ni mtani wangu mpare.
Nizzoh824 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 239 Reaction score 140 Nov 28, 2016 #4 Ya pili hiyo ni aibu kubwa :[emoji85]