Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
KIPI KINATIA AIBU ZAIDI
1.Kufumwa ukijaribisha viatu vya mgeni?
2.Mgeni kufumwa akiongeza maji kwenye sufuria inayopikiwa ugali?
1.Kufumwa ukijaribisha viatu vya mgeni?
2.Mgeni kufumwa akiongeza maji kwenye sufuria inayopikiwa ugali?