Ndio ndio tajiri, atuambieWewe unaonaje? Ebu tuanzie hapo kwanza
Kuna haja ya kusikia kutoka kwake kwanza chiefNdio ndio tajiri, atuambie
😅Wewe unaonaje? Ebu tuanzie hapo kwanza
Kila kitu kinauma inategemea ulikua na ukaribu kiasi gani?Umewahi umwa na siafu kwenye uume
Au umeacha home wanachambua Mchele unafunua hotpot unakutana na ugali
Nini sasaIla unazingua sana ww jamaa
Kila kitu kinaumaaa tena sanaaa it depends na muda tu mkuuKwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku??
1.kufiwa na mzazi au wazazi
2.kufiwa na mpenzi au mke
3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu
4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke
5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi??
🤔�🤔🤔🤔
Umekua shortlisted umefeli interview umepoteza Pesa umekosa PesaKufukuzwa kazi/kukosa pesa.
Inategemea ukaribu ulio nao na hao kwenye list uliyoweka, inawezekana rafiki ikauma kuliko mama yako, believe meKwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku??
1.kufiwa na mzazi au wazazi
2.kufiwa na mpenzi au mke
3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu
4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke
5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi??
🤔�🤔🤔🤔
Mmh my condolences to you familyKwangu mimi maumivu makali niliyopitia
Kufiwa na mamangu mzazi mwaka wa 3 ila kila nikikumbuka natokwa na chozi....yote tisa hakuna kitu kibaya kama kuona mtu wako unaempenda lazima afe una ujua haya magonjwa .tu akiumwa sana mnakuwa mnajua haponi
Maumivu ya pili mpenzi wangu niliyekaaa nae miaka sita ...mmmh huyu alivyoondoka sikumia mwanzoni ila roho iliniuma hapo kipato kimeyumba mwanamke kasepa wewe maumivu pasi inasubiri....
Maumivu mengine niliwahi pitia ni kusoma na watoto wa matajir wakati wewe ni mtoto wa masikini wenzio wanatumiwa pocket money laki moja wewe mama ako anakutumia 15000tsh ....utakula ugali wa shule hadi ufe
Basi nashukuru mungu baada kumaliza shule nilipata kipato kizuri sana na maisha yanaenda biashara za china zinasadia huwa nasahau maumivu
La mwisho siku narudi nyumbani kwangu saa tatu usiku nakaa sebuleni nashangaa mchumba wangu anatoka chumbani anasema magufuli kafariki sito sahau naangalia kwenye simu nakuta kila kapost niliumia sana ile siku........ kama kafa ndugu yangu wa karibu hadi leo nikionaga picha ya magu nasemaga mungu