Kipi kinauma zaidi kwenye maisha?

Kipi kinauma zaidi kwenye maisha?

mi naona wengi wenu hapa hamjawahi kubinywa kende kwa mikono yote miwili na mdada mnene!
 
Kila maumivu yanatofautiana kati ya mtu na mtu,mwingine maumivu ya tukio Hilo Hilo Wala hayamshtui.
 
Kwenye maisha ni kipi kinauma zaidi hasa kweny mazingira tunayo ishi ya kila siku??
1.kufiwa na mzazi au wazazi
2.kufiwa na mpenzi au mke
3.kufumania au kufumaniwa na mke au mume wa mtu
4.kuacha au kiachika na mchumba au mpenz au mke
5.kutengwa na marafiki ndugu au wazazi??

🤔�🤔🤔🤔
Kichwa
 
Kugumnia demu wako anagegedwa kusikie tuu jamani..unaweza pata kifafa hapo hapo
 
Labda nikose maokoto tu nitaumia ila sio ulivyotaja.
 
Mmh ushawahi kujikwaa dole gumba mpaka ukucha ukatoka?maumivu yake hukaa usahau
 
Back
Top Bottom