Chomsky Member Joined Jul 15, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Nov 6, 2012 #1 Upi ni msemo sahihi wa Kiswahili sanifu kati ya misemo ifuatayo? a. Ndoo inavuja au b. Maji yanavuja? Tusaidiane katika hili wadau wa Kiswahili.
Upi ni msemo sahihi wa Kiswahili sanifu kati ya misemo ifuatayo? a. Ndoo inavuja au b. Maji yanavuja? Tusaidiane katika hili wadau wa Kiswahili.
COURTESY JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 2,006 Reaction score 709 Nov 6, 2012 #2 ndoo inavuja ni sahihi kabisa,maji yatavujaje mkuu
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Nov 6, 2012 #3 Mtafute mwalimu Masebo wa Mkwawa ama Kalembo wa Dakawa enzi hizo ndo walikuwa walimu wa Kiswahili Tanzania nzima hakuna aliekuwa anawafikia. Nasema hivo maana wengine watakuyeyusha tu
Mtafute mwalimu Masebo wa Mkwawa ama Kalembo wa Dakawa enzi hizo ndo walikuwa walimu wa Kiswahili Tanzania nzima hakuna aliekuwa anawafikia. Nasema hivo maana wengine watakuyeyusha tu
K Kyandaya Member Joined Oct 19, 2012 Posts 53 Reaction score 9 Nov 15, 2012 #4 ndoo inavuja(maji ni kioevu kinachowekwa kwenye ndoo.Hakiwezi kuvuja.bali chombo kilchobeba kioevu hicho chaweza kukivuja)
ndoo inavuja(maji ni kioevu kinachowekwa kwenye ndoo.Hakiwezi kuvuja.bali chombo kilchobeba kioevu hicho chaweza kukivuja)