Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?

Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?

Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?
 
Bora ahamie Avril tu peke yake, Aidah yule alieimba sun shine na Marya alieimba tumekuja chokoza, hawa nafkiri ndio warembo pekee Kenya
 

Attachments

  • avril.jpg
    avril.jpg
    35.7 KB · Views: 713
  • habida.jpg
    habida.jpg
    20.1 KB · Views: 1,060
  • marya-2.jpg
    marya-2.jpg
    40.4 KB · Views: 902
mkuu mademu wa Kenya ni hatari wamekomaa kama wabeba zege
yaani hata kuandamana nitaandamana

Wabongo bwana, hivi ni demu gani anaongoza kwa sura mbaya bongo muvi?
 
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?!! Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo (TZ) wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?!!! Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?!!!

lawmaina78 na wakenya wengine pale nairobi wangechomana visu kwenye kumbi za starehe kugombania dada zetu wa kibongo.acha tu,watoto wa kike wa ktz warembo bhana.jioni ya week end moja tembelea maeneo ya mlimani city kusafisha macho.i bet you wont regret to be there.utapacha picha kamili ya urembo wa wasichana wa kitz.

halafu jambo la kustaajabisha,wasichana wa kikenya hupagawa sana vijana wa kibongo.wenyewe husema wanavutiwa sana kiswahili chetu,ucheshi na mapenzi matamu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom