Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Kipi kingetokea: Wasichana wote wa Bongo wahamie Kenya na wa Kenya waje kwetu Tanzania

Watoto wa Kikenya tisha, acha weee!!! ila mimi huwa sibagui wanawake kama nyie, na ndio maana mko wadhaifu
Weka na picha ya Kirigo Ng'arua mkuu tumwone, yule tv Presenter wa Citizen. Na wale Wakalenjin wafukuza upepo!!!!!!
 
Mimi naona tu kwa kujaribu kuficha udhaifu wenu mnabaki kuwashambulia dada wetu wa Kikenya.
Maana ukiona mwanamume anaona kila mbaya kwa mwanamke, ujue ana matatizo na hana lolote. Nijuavyo mimi Mzungu ndiye aliyechora mpaka na kuita upande mmoja Kenya na mwingine Tanzania, bure sote Bantu na Nilotes, hivyo hamna tofauti yoyote.
Tabia zenu hizi nazifananisha na wale jamaa hupiga wake zao
 
Halafu sio urembo, pia na akili, wa kwanza kushusha Dreamliner Africa yote

kq15-400x242.jpg
 
Weka na picha ya Kirigo Ng'arua mkuu tumwone, yule tv Presenter wa Citizen. Na wale Wakalenjin wafukuza upepo!!!!!!

hahaha,trust me,maina hawezi kuleta picha za mademu wa kikalee hapa.zitasababisha thread ikose wachangiaji.labda kidogo picha ya emmy kosgey.
 
hahaha,trust me,maina hawezi kuleta picha za mademu wa kikalee hapa.zitasababisha thread ikose wachangiaji.labda kidogo picha ya emmy kosgey.

Nitaweka, kwani iko nini.... watoto wenye bidii na bado wazuri tu mbona.

Mercy-Cherono-03.jpg
 
Aiseeee hata wanaume wao wabaki nao huko huko bahili kweliii

Halafu wewe mrembo wa Kibongo naona hujakumbana na mizuka ya Kikenya, nakuhakikishia utapenda, hamna chips mayai, nipe tu anwani.

Kenya+National+Rugby+Sevens_3.JPG
 
yaani demu wa Kibongo nikimuweka sawa kitandani anabaki kushukuru sana hadi nashangaa kwani mbona alikua kabisa amekosa shughuli ama vipi. Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini hili nimelisikia toka kwa wanaume wengi Wakenya, kwamba baada ya kumsakata demu wa Kibongo kwa muda wa zaidi ya dakika kama 45 anabaki kushukuru sana.

Jameni muache chips mayai hizo, zinawaharibu wanaume.

wakenya acheni kujisifu kwa vitu ambavyo hamuviwezi.kwanza kabisa the majority of kenyan men are sexually weak b'se of their high consumption of local brews and miraa chewing.
hizo nguvu za kuspend 45 mnts kwa demu wa kibongo mpaka demu akushukuru, mtazitoa wapi?.

ila nisiseme mengi,acha niwaite wadada wa kibongo watupe ushuhuda wao juu "yenyu".


lara 1 charminglady Madame B Evelyn Salt
Passion Lady Karucee
Heaven on Earth [MENTION=32658] miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe mrembo wa Kibongo naona hujakumbana na mizuka ya Kikenya, nakuhakikishia utapenda, hamna chips mayai, nipe tu anwani.

Kenya+National+Rugby+Sevens_3.JPG

rugby.mchezo wa wanaume wenye asili ya western kenya.luhya and juluo.mkikuyu ana kaa getini kukusanya pesa ya kiingilio uwanjani.lmao.
 
Acheni hizo bhaaasi.....inamaana nyie hamna ndugu wenye sura ngumu kama za hao wakenya?
Nyie familia/koo/kabila zenu wanawake wote ni warembo/wazuri wa sura na shepu?? Aaghaaa!!
my sis kachukua uraia wa kenya,ila kenya hamna warembo bhana
 
nimewahi kuishi nairobi aisee wasichana ni wabaya sijawahi ona.
 
Kuna yule manzi askari aliyevaa uniform juu ya goti, hadi mtukufu Uhuru Kenyata alipata shock, naye ni mzuri. Mwenye ile picha atuwekee.

copy to Tyta
 
Last edited by a moderator:
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?!! Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo (TZ) wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?!!! Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?!!!
Mi ningehamia nao kenya bana...
 
Back
Top Bottom