Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
hiyo istokee, waschana wa kenya asilimia kubwa wana sura ngumu kweli
mkuu mademu wa Kenya ni hatari wamekomaa kama wabeba zege
yaani hata kuandamana nitaandamana
Nisingetongoza ,hawa wetu japo wanapiga mizinga ndo wameshatuzoesha hivo hivo ,tunawapenda wabongo hivo hivo,Nyie endeleeni tu kutuchuna hivo hivo

nimewah kuona article flani kuwa kitakwimu kenya ndo inaongoza kuwa na wabaya wa sura Africa wake kwa waume (nisijue kitabia)
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?!! Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo (TZ) wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?!!! Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?!!!