Inabidi unitake radhi madam [emoji8], mimi hata sio mvivuWanaume wa Kitanzania mlivyo wavivu mngechezea kichapo kila siku kutoka kwa wanawake wa Kikenya..lol
Noma sana mzee babaAisee!!
hahahaaa of course yes. Yupo Avril, Uddah na wengine wengiSasa Kenya kuna wasichana nawewe?
pole sana usiku haukuota anakukaba?Nilipataga Mkenya humu, alivyonitumia tu picha zake nikafunga PM na kuignore his future texts ..
Ningekuwa nishapishana na gari ya mshahara.