Mtatya's boy
Member
- Jul 28, 2014
- 48
- 19
hata cc wanaume tungezamia kenya faster hata bila passport tunakula chocho tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msupuu passion lady haya maneno ni machungu sana kwa lawmaina78 pande ya nai.utasababisha avunje keyboard.ha ha ha.
Nisingetongoza ,hawa wetu japo wanapiga mizinga ndo wameshatuzoesha hivo hivo ,tunawapenda wabongo hivo hivo,Nyie endeleeni tu kutuchuna hivo hivo
Mademu wa Kenya sio kabisaaaaaaaaHa ha ha ha umetisha
hahaaa dahIla kweli mademu wetu wako very assertive, aggressive and liberated kiasi kwamba akakumbana na mwanamume hoi, haswa jamaa wa kibongo hawawezani.
Lakini nyie mbona kweli mademu wenu huwa mnawatelekeza kwenye mambo ya ninii.... unakuta yaani demu wa Kibongo nikimuweka sawa kitandani anabaki kushukuru sana hadi nashangaa kwani mbona alikua kabisa amekosa shughuli ama vipi. Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini hili nimelisikia toka kwa wanaume wengi Wakenya, kwamba baada ya kumsakata demu wa Kibongo kwa muda wa zaidi ya dakika kama 45 anabaki kushukuru sana.
Jameni muache chips mayai hizo, zinawaharibu wanaume.
Mmoja kati ya 10,000 ndio unaeza pataNairobi kuna totoz kali
Aje habidah tu wengine wabqki.
Habari za jioni wanajamiiforums wenzangu?
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikijiuliza hivi ingekuwaje kama wasichana wa kibongo wote wangehamishiwa kwa jirani zetu Kenya na hao wasichana wa huko Kenya tungeletewa huku Bongo hivi ni kipi kingetokea?
Tungeweza kweli kuwa-handle wa Kenya kwa ukorofi wa kupiga hadi waume zao?