Kwa mimi nimeyatumia malengo hayo 17 na ku adopt baadh na nimederive innovative ideas for my 2017+ projects to start to implement. Lengo namba 9 ndiyo kipaombele kwakuwa nimechunguza fursa nategemea kuanza uwekezaji ktk KIWANDA NA MOBILE TECHNOLOGY.
Hayo yanaweza kutekelezwa na watu au m2 yeyote kwani sawa na wamekupa ideas tu. Mfano, ktb lengo no 4.education, so ubuni wazo litakaloboresha elimu ambalo litakuw business wakt huo linaboresha elimu.