Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanaweza kutekelezwa na watu au m2 yeyote kwani sawa na wamekupa ideas tu. Mfano, ktb lengo no 4.education, so ubuni wazo litakaloboresha elimu ambalo litakuw business wakt huo linaboresha elimu.Hivi yanatekelezwa na mtu mmoja mmoja au nchi wanachama wa UN ndo watekelezaji wakubwa wa hayo malengo?