Silipu weliUsiku mwema
Huu msemo wa "sio watu/mtu wa mchezo mchezo huwa unanifurahisha sana"Acha utani kabisa
SHILAWADU sio watu wa mchezo-mchezo.
swts dreamsSilipu weli
kwahiyo unataka kusema nawasingizia?Sio kweli labda wewe ni mfuatiliji wa mara moja moja sana
Hamna umeninukuu vibaya, ila napinga kwa 100% unavyosema wanamzungumzia diamond pekee hii sio kweli hata kidogokwahiyo unataka kusema nawasingizia?
FNL kina wadhamini vp kuhusu wale wanaume wambea?
C u in my dreamsswts dreams
wakipumzika Ijumaa hii ijayo watamuongelea watamuongelea ijayo.kipind chao kinaboa sana kwa kuwa waongo waongoHamna umeninukuu vibaya, ila napinga kwa 100% unavyosema wanamzungumzia diamond pekee hii sio kweli hata kidogo
Mkuu uje tuuHamna umeninukuu vibaya, ila napinga kwa 100% unavyosema wanamzungumzia diamond pekee hii sio kweli hata kidogo
Mimi huwa nabadilisha channel kama kuna matangazo au msanii anayehojiwa kama simuelewi elewi ila mara kwa mara nashindwa nichague kipiMkuu uje tuu
FNL
Akina nani EATV au CLOUDS TV?wale jamaa sio watu wa mchezo mchezo
HahahaHakuna show ya usiku inayofunika FNL tangu enzi za Sebo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]D'wikend chat show ndio kipindi gani hicho??
Unakosa mambo mazurikwanza Mungu kanipendelea sana tv yangu ina king'amuzi cha humo humo kwa hiyo haikamat clouds ushindi wa kwanza hii ina maana hadi nitumie star times kuangalia clouds wakat hicho king' amuz cha star times sikipend kimekaa tu hapa ni mwendo wa FNL kila ijumaa hao wa clouds niliwaangalia mwaka 2013 sikurudia tena had leo watasubir sna.