Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

Kile cha clouds kinatakiwa kiitwe Diamond wknd chrt show.maana kira wiki ni ooho diamond kalala na mobeto,

ooho wema kalala madale,

oooh mama mond kamlisha zar na mkono wa kushoto

oooh wolper bado anatoka na mond halmo ni mpambe tuu.

Siku wasipomzunguzia diamondi nadhani hawakunikagi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanza Mungu kanipendelea sana tv yangu ina king'amuzi cha humo humo kwa hiyo haikamat clouds ushindi wa kwanza hii ina maana hadi nitumie star times kuangalia clouds wakat hicho king' amuz cha star times sikipend kimekaa tu hapa ni mwendo wa FNL kila ijumaa hao wa clouds niliwaangalia mwaka 2013 sikurudia tena had leo watasubir sna.
Tutakua tumependelewa wote mkuu... Mimi kwangu clouds ilipotea tu yenyewe mpaka leo sikutaka kujua sababu. Fnl fnl fnl fnl fnl baasi...
 
Back
Top Bottom