Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ule ubunifu au upuuzi yani usoni anakuà ka gaidi na aliye serious kumwangalia soud kaz anayoKuhusu Sudi ule ni ubunifu wa kipekee kabisa
DaahTutakua tumependelewa wote mkuu... Mimi kwangu clouds ilipotea tu yenyewe mpaka leo sikutaka kujua sababu. Fnl fnl fnl fnl fnl baasi...
Wabongo twapenda kukopiana ubunifu zero inabidi ukianzisha kitu lazima ukiwekee patents tu hamna namnaKwahiyo kumbe clouds nao wana kipindi kama cha fnl!?Ndo hasara ya ku copy ..... Hata maudhui hawana..... Huwaga wanafungua dunia ipi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Daah
I wish na kwangu huku ipotee
Nimeifunga kwa nywila tu
HahahaWabongo twapenda kukopiana ubunifu zero inabidi ukianzisha kitu lazima ukiwekee patents tu hamna namna
Wangefanya wengine afadhali... Sasa jamaa zetu wa ubunifu na fursa aisee!!! HapanaWabongo twapenda kukopiana ubunifu zero inabidi ukianzisha kitu lazima ukiwekee patents tu hamna namna
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hao clouds staff wenyewe wakiwa kwao wanafungulia EATV.
Wewe na kisimbuzi chako hicho cha ..... Huwezi kijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatarii
MkuuWewe na kisimbuzi chako hicho cha ..... Huwezi kijua.
Sikuhizi wanajitahidi kuwacopy EATV, zamani Graphix ndio walikuwa zero kabisa, sahivi angalau wanajitahidi mfano kwenye kipindi cha Clouds 360 na kile cha ShadeeClouds tv katika masuala ya graphics na sound Hamna kitu kabisa... Hawawezi kuwafikia EATV hata kidogo japokuwa huwa wana idea yaaani ile wangepata studio za EATV wangekuwa mbali
Ndo hivyo sasa tunasema utalinganishaje FNL na vitu vya kishen.zi...?Wengi wanao changia hapa wame fel ku balance story.
Utasikia FNL ipo vzuri ila mawingu blah blah blah...(usitangulize jazba coz huu mchezo hauhitaji hasira)
Can't you go straight to the point!!! Hapa hailinganishwi Fnl na clouds bali fnl na da'weekend chat show.