casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
kwani binadamu akitumia sumu ya panya nini kitatokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa unajua hata wanawake wana hormone za kiume ila za kike ndio zimezidi,inawezekana akinywa ikaleta effect.fanya jaribio kanunue umwekee utaona matokeoatatafuta maziwa
hapana hana receptor zinazoweza toa mwitikio kwa iyo dawa ni sababu inafanya kazi kwa ku dilate blood vessel zilizoko kwenye uume asa maumbile hayo mwanamke hana.sa c itaongeza msukumo wa damu kweny papuchu
Mkuyati...mwenyewe sio mzoefu wa hz dawa ila kuna baadh wanazijua