Kipi kwako muhimu kati ya vitu hivi?

Kipi kwako muhimu kati ya vitu hivi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hello 👋

Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu

MB?
Dakika za maongezi?
SMS?

Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
 
Mim nikikosa MB sioni umuhimu wa kuwa na simu
Ahahahha unakopa nipige tafu au tigo nivushe duh watuwekee utaratibu kama marekan kwa mwezi laki mbili utake. Usitake utanunua
 
MB ndio mpango mzima kwango.

Kuna kipindi niliwahi tumia hela ya kununulia msosi ili niunge bundle kwenye simu😂
 
MB ndio mpango mzima kwango.

Kuna kipindi niliwahi tumia hela ya kununulia msosi ili niunge bundle kwenye simu😂
Mimi nauli ya kurudia nyumbani af nipo posta nakaa sinza
 
Back
Top Bottom