Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 716
- 818
Kumpa mwanafunzi ujauzito na kutembea na mke kipi ni afadhali...! wakuu maana kuna jamaa alitembea na mke wa mtu walimfyeka mkono (story kutoka kijiweni) na kuna co worker mwenzangu kampa mwanafunzi mimba wa form 3 mpaka leo hajulikani alipo..?
Which is which wakuu...?
Which is which wakuu...?