Kipi ni afadhali kati ya mwanafunzi na mke wa mtu!

Bry N

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
716
Reaction score
818
Kumpa mwanafunzi ujauzito na kutembea na mke kipi ni afadhali...! wakuu maana kuna jamaa alitembea na mke wa mtu walimfyeka mkono (story kutoka kijiweni) na kuna co worker mwenzangu kampa mwanafunzi mimba wa form 3 mpaka leo hajulikani alipo..?

Which is which wakuu...?
 
Bora mwanafunzi mke wa mtu sumu. wanafunzi wanaliwa sana na in kesi chache sana zinazoletea matatizo watu. inatokea bahati mbaya sana kuingia kwenye matatizo ukidate na dent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…